Kitabu hiki kinalenga kuwaelekeza watoto kutambua haki zao na kutekeleza majukumu yanayoambatana na haki hizo jinsi ilivyopendekezwa katika silabasi mpya. Kwa hivyo, kitabu hiki kitapiga jeki ufunzaji na ujifunzaji wa mada ya Haki na Majukumu ya Watoto (Kiswahili) pamoja na Children Rights and Responsibilities (Environmental Activities).
Ali Apigania Haki Yake
Brand :
KSh250.00
Ali, mvulana mwenye umri wa miaka kumi, anatamani kusoma hadi chuo kikuu. Hata hivyo, nyanya yake anamwagiza kumchungia mbuzi badala ya kwenda shuleni. Ali anabuni mbinu za kurejea shuleni na wakati huo huo kuendelea kumsaidia nyanya yake. Je, juhudi zake zitazaa matunda?