Maria Taabani

Brand :
KSh250.00
Made Familiar

Maria ana mazoea ya kulala hadi Mama amwamshe. Maria pia husahau kufanya kazi zake za shule hadi Mama amkumbushe. Mama anaenda safari ya mbali. Chacha ambaye ni kakake Maria anataka kumfunza Maria adabu kwa kukosa kumtii. Je, Maria atafanya nini ili asijipate taabani?

Author: Daniel Mwangi

Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kutambua, kuunda na kuzingatia kanuni za shule jinsi inavyopendekezwa katika silabasi mpya. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada ya School Rules inayojitokeza katika somo la Environmental Activities.

Level