Pango la Ajabu

Brand :
KSh275.00
Made Familiar

Zuheri anaanguka pangoni anapocheza mwajificho na wenzake. Baba anapoingia ndani ya pango kumwokoa, anapata kisanduku. Baadaye inatangazwa redioni kuwa polisi wanatafuta kisanduku kilichopotea. Ndani yake mna vitu vya thamani. Je, wazazi wa Zuheri watakabidhi polisi kisanduku kile?

Author: Jackson Omondi

Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kutambua umuhimu wa uzalendo na kuzingatia uraia mwema jinsi ilivyopendekezwa katika silabasi mpya ya umilisi. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada za uzalendo na uraia.

Level