Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kutambua hatari zilizopo katika mazingira ya nyumbani. Kinamhimiza mwanafunzi kuwa mwangalifu na kuwajibikia usalama wake akiwa katika mazingira ya nyumbani, jinsi inavyopendekezwa katika silabasi mpya. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada ya Keeping Safe and Secure in the Home (Environmental Activities).
Dereva wa gari Jekundu
Brand :
KSh225.00
Toma na Bella wanataka kwenda shuleni. Wanaona gari jekundu karibu na nyumbani kwao. Dereva wa gari hilo anajitolea kuwapeleka shuleni. Je, dereva ana nia gani? Je, Toma na Bella watakubali awapeleke shuleni?