Kitabu hiki kinalenga kumwezesha mwanafunzi kutambua na kuchangia katika nyenzo za kujipatia mapato jinsi ilivyopendekezwa katika silabasi mpya. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada kama vile Enterprise projects inayofunzwa katika masomo yote na Ways of Making Money inayojitokeza katika somo la Environmental Activities.
Maandazi ya Haiba
Brand :
KSh275.00
Haiba na marafiki zake wanataka kumnunulia Baraka zawadi anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa. Baraka anaishi na nyanya yake ambaye anaugua. Hata hivyo, kina Haiba hawana pesa za kumnunulia Baraka keki na zawadi nyinginezo. Kwa kuwa likizo imeanza, wanaamua kutafuta njia ya kupata pesa. Je, watatumia mbinu gani? Je, wataweza kupata pesa za kutosha kumnunulia Baraka keki na zawadi nyinginezo?